Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Pamoja
na wewe,
Pamoja
na wewe,
Katika
safari yangu,
Tatembea
na wewe.
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Pamoja
na wewe,
Pamoja
na wewe,
Heri
nikute mashaka,
Sawasawa
na wewe.
Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Pamoja
na wewe,
Pamoja
na wewe,
Mlangoni
mwa mbinguni,
Niingie
na wewe.