Katika neema ya Yesu,
Nimeokolewa,
Nilipotea dhambini,
Nilikuwa kipofu rohoni

Bali neema ya Yesu
Yanitosha sana
Ilinifungua macho yangu,
Ikanifungua

Kilikuwa mwenye hofu
Nilifungwa nazo
Nimefunguliwa sasa
Kwa neema ya Yesu

Nitamsifu Bwana wangu
Maishani mwote,
Kwani nnina ushirika
Msalabani mwake.

Tutakapofika wote
Mbinguni kwa Mungu
Tutashukuru neema
Ya Yesu milele.