Usiku
wa sifa, wa raha na nuru,
Alipozaliwa
Mwana m-takatifu na mwema,
Mwana
ndiye Mungu, Mwana ndiye Mungu.
Usiku
wa sifa, wachunga bondeni,
Nuru
iliwaogofya, malaika wakaimba,
Kazaliwa
Mwana, Kazaliwa Mwana.
Usiku
wa sifa, neema na amani,
Upendo
na ukombozi umewafikia wote
Kwa
Masihi Yesu, kwa Masihi Yesu.