Watu wa Bwana Yesu, askari wa nuruni,
Tupigane na giza, dhambi za duniani.
Vitani
tukkishinda, tutamiliki,
Tutamiliki,
tutamiliki,
Vitani
tukishinda, tutamiliki
Yesu
ajapo tena.
Dunia, mwili, mwovu, ndio adui zetu,
Hupigana na sisi, hujaribu kushinda.
Vitani
tukkishinda, tutamiliki,
Tutamiliki,
tutamiliki,
Vitani
tukishinda, tutamiliki
Yesu
ajapo tena.
Tamaa ya kimwili, anasa ya dunia,
Kiburi cha Shetani, vinawashinda wengi.
Vitani
tukkishinda, tutamiliki,
Tutamiliki,
tutamiliki,
Vitani
tukishinda, tutamiliki
Yesu
ajapo tena.
Alama ya Shetani, usoni na mkononi,
Yesu aliikataa, kufa hatuogopi.
Vitani
tukkishinda, tutamiliki,
Tutamiliki,
tutamiliki,
Vitani
tukishinda, tutamiliki
Yesu
ajapo tena.
Vumilia kuomba, Rohoni mwake Mungu,
Silaha zake vaa, utangaze wokovu.
Vitani
tukkishinda, tutamiliki,
Tutamiliki,
tutamiliki,
Vitani
tukishinda, tutamiliki
Yesu
ajapo tena.
Wokovu
wake Yesu, tuutangaze,
Tuutangaze,
tuutangaze,
Wokovu
wake Yesu, tuutangaze,
Hata Yesu
arudi.
Ndugu katika Yesu, tuwe na roho
moja,
Lihubiriwe Neno kwa mataifa yote
Vitani
tukkishinda, tutamiliki,
Tutamiliki,
tutamiliki,
Vitani
tukishinda, tutamiliki
Yesu
ajapo tena.