Nazishikilia ahadi zake, Mpaka mwisho wake ulimwengu huu, Nyimbo nyingi nitamwimbia Yesu, Nazishikilia ahadi. Kweli, kweli, Na...

Nazishikilia ahadi zake, Mpaka mwisho wake ulimwengu huu, Nyimbo nyingi nitamwimbia Yesu, Nazishikilia ahadi. Kweli, kweli, Na...
Baraka zake ni nyingi, asema Bwana Mungu, Siku zake za furaha, zakaribia kwetu. Utubariki, R oho Mtakatifu, Tusipokee kia...
Kaa nami, ni usiku tena; Usiniache gizani Bwana; Msaada wako haukomi; Nilipeke yangu kaa nami. Siku zetu hazikawi kwisha; Si...
Popote na Yesu nina amani, Pote aniongozapo nchini, Asipokuwapo sina furaha, Popote na Yesu sitaogopa. Popote, popote, sitaogo...
Umechoka hata kuzimia? Mwambie Yesu, Mwambie Yesu, Je, huna furaha na amani? Mwambie Yesu pekee. Mwambie Yesu, mwambie Yesu, M...
Watu wa Bwana Yesu, askari wa nuruni, Tupigane na giza, dhambi za duniani. Vitani tukkishinda, tutamiliki, Tutamiliki, tutamiliki,...
Bwana hunificha mafichoni mwake, Hunifariji matesoni mwote, Nimepata mapumziko kwake Yesu, Hunilinda njiani pote. Hunificha mafic...
Nazishikilia ahadi zake, Mpaka mwisho wake ulimwengu huu, Nyimbo nyingi nitamwimbia Yesu, Nazishikilia ahadi. Kweli, kweli, N...
Nitamshukuru Mungu, Kwa upendo wake mkuu, Alimtuma Mwanawe, Kunifilia mimi. Kweli nitaimba nyimbo, Za upendo wake mkuu, Pam...
Usiku wa sifa, wa raha na nuru, Alipozaliwa Mwana m-takatifu na mwema, Mwana ndiye Mungu, Mwana ndiye Mungu. Usiku wa sifa, wachung...
Njoni na furaha, Enyi wa Imani, Njoni Bethlehemu upesi! Amezaliwa mjumbe wa Mbinguni Njoni tumuabudu, Njoni tumuabudu, Njoni tumuab...
Katika neema ya Yesu, Nimeokolewa, Nilipotea dhambini, Nilikuwa kipofu rohoni Bali neema ya Yesu Yanitosha sana Ilinifungua m...
Msalabani pa mwokozi, Hapo niliomba upozi, Akaniokoa mpenzi, Mwana wa Mungu. Mwana wa Mungu, Mwokozi wangu, Akaniokoa mpenzi, Mwa...
Muda mwingi nilipotea, Sikufahamu msalaba, Wala aliyenifilia, Msalabani*. Rehema bure na neema, Samaha nalo nilipewa, Ndipo aliponifu...
Namwandama Bwana kwa alilonena, Njia yangu huning'azia; Nikimridhisha atanidumisha Taamini nitii pia. Amini utii, njia pweke ...